Jeremiah 6:24


24 aTumesikia taarifa zao,
nayo mikono yetu imelegea.
Uchungu umetushika,
maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa.
Copyright information for SwhKC